Recent Posts

KWA MATANGAZO WASILANA NA UONGOZI WA Deopa TV NO:0765-743393 AU 0658508231, EMAIL:deostivu123@gmail.

Jinsi ya kuifanya au kuitengeneza flash yako kuwa bootable.

Leo nitawafundisha  jinsi ya kutengeneza kwa kutumia CMD Kwa jina lingine ni Command prompt.

Vitu vya kuzingatia
      1/lazima uwe na computer
     2/flash
   
Ivyo ni baadhi ya vitu unavyo takiwa kuwa navyo ????

Jinsi ya kuanza kutengeneza fuata njia hizi.
1/ Washa computer yako kisha click window battani baada ya apo andika CMD/COMMAND PROMPT
2/Run
3/njia ya tatu andika maneno yafuatayo
          >Diskpart afu press enter
         >list disk afu enter
         >select disk 1  afu bonyeza enter
        >clean disk
        >create partition pri
        >select partition 1
        >active
        > format fs=ntfs
        >quick assign
        >exit
Hapo flash yako itakuwa tayari ni bootable.
Kwa msaada zaidi kuusiana na IT au maujanja ya computer wasiliana kwa simu no. 0765743393 au 0654145068
             Au kwa Emaili ya deostivu123gmail.com pia tembelea blog yangu ya DeopaTV.blogsport.com au kamalyphoustine2@gmail.com