Recent Posts

KWA MATANGAZO WASILANA NA UONGOZI WA Deopa TV NO:0765-743393 AU 0658508231, EMAIL:deostivu123@gmail.

BURUDANI

HatimayeTiwa Savage afuata nyayo za Beyoncé Knowles




Stori za kitaa zinazomuhusu msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage  ni kusaini  na  lebo ya Jay Z Roc Nation licha ya kuwa mpaka sasa bado haijawa wazi.


Tiwa kaamua kuonyesha kama yupo serious hivi na suala hilo kwa kuamua kufuata nyayo za mke wa Boss wake mtarajiwa yaani Beyoncé Knowles kwa kutinga sketi inayofanana naye. Wawili hao kwa wakati tofauti wameonekana waki-trending katika vazi la sketi ya Jacquemus ambayo kila mmoja ameonyesha uwezo wa kuivaa kwa aina yake.

No comments:

Post a Comment