Recent Posts

KWA MATANGAZO WASILANA NA UONGOZI WA Deopa TV NO:0765-743393 AU 0658508231, EMAIL:deostivu123@gmail.

MESSI ATAKOSA MCHEZO WA LEO DHIDI MALAGA USIKU HUU


Ni neema nyingine kwa familia ya nyota wa FC. Barcelona, Lionel Messi, kupata mtoto mwingine baada ya mkewe, Antonella Loccuzzo, kujifungua.

Luccuzzo amejifungua mtoto wa kiume ambaye amebatizwa jina la Ciro, hivyo amefikisha jumla ya watoto watatu kwenye familia yake.

Watoto alionao sasa ni Thiago aliyezaliwa mwaka 2012, Mateo 2015 na Ciro kwa mwaka huu 2018.

Usiku wa leo Barcelona itacheza na Malaga FC katika La Liga huku taarifa zilizotoka zinasema Messi ameondolewa kwenye kikosi kitakachocheza leo.

No comments:

Post a Comment