Msanii wa muziki Bongo, Nedy Music ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘One and Only’ ambayo amemshirikisha Ruby. Audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na YOGO BEATS (TNT PRODUCTION), wakati video imeongozwa na Hanscana kutoka Hanscanabrand. Itazame hapa.
No comments:
Post a Comment