Recent Posts

KWA MATANGAZO WASILANA NA UONGOZI WA Deopa TV NO:0765-743393 AU 0658508231, EMAIL:deostivu123@gmail.

MSIBA WA SAM WAUKWELI

  
Msanii wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia  Juni 7, 2018 baada ya kuumwa na mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala.Pia, aliyekuwa mtayarishaji wa nyimbo za Sam wa Ukweli, Steve amesema Sam alikuwa akiumwa na walipomuuliza alisema ni UKIMWI wa kulogwa.
Taarifa hiyo imethibitishwa na msambazaji wa nyimbo zake na Meneja wa ‘Team Mtaa kwa Mtaa’, Amri the Business ambaye aneeleza kwa masikitiko makubwa kuwa Sam amefariki dunia na kumtakia kupumzika kwa amani.
“Siamini kilichotokea muda huu ila sina jinsi, kwani woote safari ni moja, pumzika kwa amani Sam wa Ukweli, hakika nilikupenda kama ndugu yangu wakuzaliwa tumbo moja" amesema Amri the Business.
                                                                    R. I .P SAM WA UKWELI
                                                                      TUTAKUKUMBUKA

No comments:

Post a Comment